Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu wakazeKMC chukueni hela msepe
Hatimaye umeonekana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KMC chukueni hela msepe
Maana halisi ya shabiki asiyejitambua.Bahasha FCView attachment 2526369
Dalili za watu waliokata tamaa hizo mkuuMaana halisi ya shabiki asiyejitambua.
Mpira ni mchezo wa makosa ila makosa yakifanywa dhidi ya Yanga ni bahasha. Ila makosa yakifanywa dhidi timu yenu ya Simba hamuimbi wimbo wa bahasha. Jana mchezaji wa Azam kafanya kosa la kupiga kichwa mpira golini kwake na kuingia wavuni kulikuwa na bahasha?Bahasha FCView attachment 2526369
Mfa maji hakosi kutapa tapa, usipoteze muda kujibizana na pimbi.Mpira ni mchezo wa makosa ila makosa yakifanywa dhidi ya Yanga ni bahasha. Ila makosa yakifanywa dhidi timu yenu ya Simba hamuimbi wimbo wa bahasha. Jana mchezaji wa Azam kafanya kosa la kupiga kichwa mpira golini kwake na kuingia wavuni kulikuwa na bahasha?
Unawaonea wivu nyinyi mmechukua kwa Horoya, Raja, Azam hatusemiKMC chukueni hela msepe