Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 685
- 2,355
Leo michezo ya robo fainali kwa Caf Champions League inaanza.
Robo fainali ya kwanza imeshaanza
Mamelodi Sundowns Vs Esperence katika dimba la Loftus Versfeld
Karibu twende liveđź”´
================================================
15’ Mamelodi 0-0 Esperence
17’ Mchezo umesimama kupisha kipa wa Esperence kugangwa, pengine ni mbinu ya kupoteza muda
19’ Mechi inaendelea, timu zote bado zinasomana
21’ Teboho Mokoena wa Mamelodi anapewa kadi ya njano baada ya kumchezea faulo winga wa Esperence
25’ Mamelodi 0-0 Esperence
27’ Esperance wamekaa nyuma na kupaki basi (low block) hivyo Mammelodi inawapasa waongeze ubunifu kwenye kushambulia
30’ Mamelodi 0-0 Esperence
Leo VAR ipo hapa
32’ Karibu wachezaji wote wa Esperance wapo kwenye nusu yao, mpira ni kama umepoa
38’ Mamelodi 0-0 Esperence
43’ Mchezaji wa Esperance amelala chini, refarii anasimamisha mchezo na kuruhusu madaktari kumganga
45’ Dakika 3 zinaongezwa
HT’ Mamelodi 0-0 Esperence
46’ Kipindi cha pili kimeanza kwa Mamelodi kufanya sub. Arthur Sales akichukua nafasi ya Thapelo Morena. Pia Divine Lunga ameingia kuchukua nafasi ya Aubrey Modiba
48’ Mamelodi wanaonekana waameongeza kasi ya kutafuta bao
54’ Peter Shalulile anawapa Mamalodi goli la kuongoza
56’ Mechi imeanza kuchangamka baada ya kupoa sana kipindi cha kwanza
63’ Mamelodi 1-0 Esperance
66’ Mokwana anapewa kadi ya njano kwa mchezo usiokuwa wa kiungwana kwa mchezaji wa Mamelodi
70’ Esperance wameacha kukaa nyuma na sasa wameanza kufunguka
76’ Mamelodi 1-0 Esperance
79’ Esperance wanafanya sub wanaingiza washambuliaji wawili huku muda ukiwa sio rafiki kwao
82’ Peter Shalulile anakwenda benchi nafasi yake inachukuliwa na Maseko, sub ya kiufundi hii, kocha anaweka msisitizo wa kulinda goli lao
83’ Mamelodi waongeze umakini kwenye mipira ya kutengwa inayopigwa na Esperance
86’ Esperance bado hajapiga shuti lililolenga lango mpaka sasa, wakati Mamelodi tayari wamelenga mara 3
88’ Mamelodi 1-0 Esperance
90’ Dakika 3 zinaongezwa
90+2’ Kunazuka ugomvu uwanjani, baada ya mchezo usiokuwa wa kiungwana toka kwa Belaili wa Esperance
90+3’ Belaili anapewa kadi ya njano kwa tukio hilo
FT’ Mamelodi 1-0 Esperance