FT: Mamelodi Sundowns 1-0 Esperence | Robo Fainali | CAF Champions League | Loftus Versfeld | 01.04.2025

FT: Mamelodi Sundowns 1-0 Esperence | Robo Fainali | CAF Champions League | Loftus Versfeld | 01.04.2025

Mamelodi wanacheza soft game sana
Esperance sio wa kuwaendea pupa. Ukimwagika utawakuta wanacheka na nyavu zako. Na kurudisha goli ndo usahau.

Kwa mamelod kama wingers na viungo washambuliaji 2 wasipo tumia uwezo binafsi ujue hiyo gem hawatashinda. Usitegemee backs kukabia juu na kuongeza mashambulizi mechi hii
 
Kocha wa esperance avue kinyago atakua ni mourinho yule.

Mamelody labda watumie faulo, kona na penalty vinginevyo wanaume 22 miguu 44 wanatoka bila goli
 
Baada ya Al Ahly esperence ndie mwarabu anaebeba sana makombe ya caf CL

Kwenye hii decade tu, esperence kabeba mara 3
Vikombe hawabebi sana ila kufika nusu fainali na fainali ni kawaida kwao ila hawana nyota ya kuongelewa sana.

Nadhani ulikuwa unamaanisha dedade iliyopita ndiyo walibeba mara 3. Decade hii hawajabeba.
 
Back
Top Bottom