MKATA KIU
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,481
- 8,605
Alishaachia ngazi bwana.
Bado yupo. Mpaka leo Rais wa caf ni motsepe
Alishaachia ngazi bwana.
TaboraUto atacheza na nani kwenye hili kombe.
Neno decade lipo tricky kidogo. Unaweza kulitumia kumaanisha MUDAJUMLA (hili neno nimetunga mwenyewe) wa miaka 10 au KIPINDI MAHSUSI cha miaka 10.
Tunaposema decade kwa muktadha wa KIPINDI MAHSUSI kama ulivyofanya wewe, kawaida tunamaanisha pale unapoanza kuhesabu mwamzoni mwa mwaka unaoanza na 0, mfano 1990, 2000, 2010, 2020 halafu unahesabu miaka 10 kuanzia hapo.
Ukitumia decade kumaanisha MUDAJUMLA, hapa unaweza kuhesabu kuanzia popote.
Ukitumia maneno "decade hii", unakuwa hauko sahihi kusema ES wamechukua mara 3 maana unakuwa unaongelea KIPINDI MAHSUSI cha kuanzia 2020.
Waarabu no kama washakubali yaishe
Tukutane baadae kuwaangalia mabingwa watetezi wa taji, Al Ahly wakimkanda Al Hilal wababe wa Yanga
Wenye kombe laoSio mabingwa watetezi tu, bali ni mabingwa wa kila msimu.
Na hata msimu huu wakizubaa anaenda kubeba tena
Haya ni matokeo mazuri kwa Esperance. Wanaenda kuwaua kwao.Waarabu no kama washakubali yaishe
Kwa South Africa Mamelod ni kama Azam tu, sasa unategemea Azam acheze taifa watu wajaeMpira wa Afrika kujaza viwanja bado ni tatizo kubwa sana
Ukitaka kujifunza utanisikiliza ila ukitaka kubishana endelea na msimamo wako.
Wanalumbana na Makuu WA Mkoa🤓🤓Tabora
Timu pekee ambayo walau itaenda kutoa ushindani ni Al Ahly. Wengine hawa watapigwa hadi wachakaeKwa mpira huu wa mazoezi, aise club world cup ikicheza club ya africa wee ichinje tuu kwenye mkeka wako maana huu sio mpira wa quarter final bwana. Timu imefungwa haina ata hamsha hamsha
Mkuu umeeleza vizuri sana,...Neno decade lipo tricky kidogo. Unaweza kulitumia kumaanisha MUDAJUMLA (hili neno nimetunga mwenyewe) wa miaka 10 au KIPINDI MAHSUSI cha miaka 10.