The introvert
JF-Expert Member
- Sep 15, 2023
- 1,508
- 3,136
Leo michezo ya robo fainali kwa Caf Champions League inaanza.
Robo fainali ya kwanza imeshaanza
Mamelodi Sundowns Vs Esperence katika dimba la Loftus Versfeld
Karibu twende live🔴
================================================
15’ Mamelodi 0-0 Esperence
17’ Mchezo umesimama kupisha kipa wa Esperence kugangwa, pengine ni mbinu ya kupoteza muda
19’ Mechi inaendelea, timu zote bado zinasomana
21’ Teboho Mokoena wa Mamelodi anapewa kadi ya njano baada ya kumchezea faulo winga wa Esperence
25’ Mamelodi 0-0 Esperence
27’ Esperance wamekaa nyuma na kupaki basi (low block) hivyo Mammelodi inawapasa waongeze ubunifu kwenye kushambulia
30’ Mamelodi 0-0 Esperence
Leo VAR ipo hapa
32’ Karibu wachezaji wote wa Esperance wapo kwenye nusu yao, mpira ni kama umepoa
38’ Mamelodi 0-0 Esperence
43’ Mchezaji wa Esperance amelala chini, refarii anasimamisha mchezo na kuruhusu madaktari kumganga
45’ Dakika 3 zinaongezwa
HT’ Mamelodi 0-0 Esperence
46’ Kipindi cha pili kimeanza kwa Mamelodi kufanya sub. Arthur Sales akichukua nafasi ya Thapelo Morena. Pia Divine Lunga ameingia kuchukua nafasi ya Aubrey Modiba
48’ Mamelodi wanaonekana waameongeza kasi ya kutafuta bao
مشاهدة مباراة ماميلودي صنداونز و الترجي بث مباشر كورة لايف koora live 2025-04-01 دوري أبطال إفريقيا
تفاصيل مباراة ماميلودي صنداونز و الترجي يقدم موقع كورة لايف koora live مشاهدة مباريات اليوم بث مباشر بدون انقطاع مباشرة على موقع كورة لايف الذي يتيح مشاهدة محتوياته مجاناً. كورة لايف يستخدم روابط يوتيوب السريعة على الأجهزة المحمولة والحواسيب، ويقدم آخر الأخبار الحصرية عن اللاعبين والفرق...
Bonyeza link hiyo kufatilia game live