Gidabed
JF-Expert Member
- Jan 29, 2023
- 749
- 1,352
Jamaa ana jicho la ki~mpiraFundi wa Kibrazil, anaitwa Ribeiro.
Wasauzi wamemuomba abadili uraia ili achezee Bafana Bafana
Jamaa ana jicho la ki~mpiraFundi wa Kibrazil, anaitwa Ribeiro.
Wasauzi wamemuomba abadili uraia ili achezee Bafana Bafana
Vikombe hawabebi sana ila kufika nusu fainali na fainali ni kawaida kwao ila hawana nyota ya kuongelewa sana.
Nadhani ulikuwa unamaanisha dedade iliyopita ndiyo walibeba mara 3. Decade hii hawajabeba.
Uarabuni watakuwa na shughuli pevuMasandawana wakaze hii game washinde, kule Tunis iwe sare, watu waende Semi finals.
Naelewa, ndo maana nataka game waimalize hapa hapa. LolUarabuni watakuwa na shughuli pevu
Goli nyingi itakuwa salama kwaoNaelewa, ndo maana nataka game waimalize hapa hapa. Lol
Hata likibaki hili, muhimu kule ni kutafuta sare yoyote. DaaahGoli nyingi itakuwa salama kwao
Refa ni familia
Refa anapeta baada ya mchezaji wa Esperance kuonekana kama kafanyiwa madhambi
Umeandika kwa uchungu mkubwa sana mwana jangwani🤣🤣Mamelodi kubebwa ni kawaida yao
Neno decade lipo tricky kidogo. Unaweza kulitumia kumaanisha MUDAJUMLA (hili neno nimetunga mwenyewe) wa miaka 10 au KIPINDI MAHSUSI cha miaka 10.Decade maana yake ni 10 years.
Esperence ametwaa ubingwa wa africa mwaka 2018 na mwaka 2019 ambayo ipo ndani ya hii decade.
Huu sasa ni uchochezi.Uto atacheza na nani kwenye hili kombe.
Alishaachia ngazi bwana.Bosi wa caf ndie mwenye mamelodi