Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Mpatie juisi ya alovera atanyoosha domo, si unajua tena ile supu ya dezo pale jangwani ilivyoharibu midomo ya watu leo ππKuna mtu huku anaitwa Mdudu wa bunju yeye ni kukunja mdomo tu toka game inaanza
π€£π€£π€£Mpatie juisi ya alovera atanyoosha domo, si unajua tena ile supu ya dezo pale jangwani ilivyoharibu midomo ya watu leo ππ
Naona ule utabiri umetimiaYanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF
Yanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF
KabisaYanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF
Hili halina ubishi.Yanga na Mamelodi ndio timu pekee zinazoweza kurudisha heshima ya mtu mweusi katika Soka la Afrika kwenye mashindano ya CAF
Ilikuwa ni swala la muda tu.Naona ule utabiri umetimia
Hongera mkuuIlikuwa ni swala la muda tu.
Picha plzKilicho ni furahisha ni injinia kukaa mzunguko na lile li Ngoma kuwa support mamelod alafu kapiga black superfly safi
nildhani ni kwangu tu.jamaa bingwa wa kukunja sura aseKuna mtu huku anaitwa Mdudu wa bunju yeye ni kukunja mdomo tu toka game inaanza
Kuna kitu atarudi nacho.πKilicho ni furahisha ni injinia kukaa mzunguko na lile li Ngoma kuwa support mamelod alafu kapiga black superfly safi
Muarabu mzuri sn kwenye mtoano sn kwakua anacheza kimbinu zaidi kuliko kuonyesha ufundi
Mbona Yanga mlishiriki Ngao ya Jamii kule Tanga yalioanzia nusu Fainali na ham kuchukua ndoo?Yanga katika safari yetu ya kufika fainali ya caf champions league msimu huu.
Tunapiga wote walioshiriki bonanza la kusema washiriki wote wanaanzia robo.
Ujinga mtupu ni Mashindano gani yanaanziaga robo fainali?
Unajionaje leoSi rahisi WYDAD kuruhusu goli mbili..