FT: Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad (Agg: 3-2)AC | African Football League Final | 2nd Leg | Loftus Versfeld Stadium | 12.11.2023. Mamelodi bingwa

FT: Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad (Agg: 3-2)AC | African Football League Final | 2nd Leg | Loftus Versfeld Stadium | 12.11.2023. Mamelodi bingwa

Cha msingi hawajachukua ubingwa mbali na uwekezaji wao
Naamini umenielewa kabisa maelezo yangu, kwa ufupi michuano yoyote ya afrika timu zao ndio Zina nafasi kubwa ya kuchukua ubingwa... Ni mara moja moja sana inatokea Wana ukosa ubingwa kama hivi.
 
Refa huyu Hana budi kufungiwa... Hafai na ni takataka...

Refa anashirikiana na Mamelodi kupoteza muda..

Hovyo kabisaa..

Very disappointing..
 
Back
Top Bottom