FT: Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad (Agg: 3-2)AC | African Football League Final | 2nd Leg | Loftus Versfeld Stadium | 12.11.2023. Mamelodi bingwa

FT: Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad (Agg: 3-2)AC | African Football League Final | 2nd Leg | Loftus Versfeld Stadium | 12.11.2023. Mamelodi bingwa

Kiongozi wa CAF kasikitika kweli ila ndo michezo ya waarabu.

FT 2-0
Na ndiye mmiliki wa timu, wamemtia aibu kwa utoto waliofanya. Yaani wamefanya zaidi ya waarabu wanavyopoteza muda.
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Mamelodi nipigie hao wajukuu wa CAF

Utawala wa waarabu inabidi tuuondoe
Utawala wa waarabu utaendelea kuwepo sana tu as long as wao ndio wataendelea kuwa na miundo Bora, walimu walio Bora kuanzia ngazi za chini kabisa, uwekezaji ulio Bora na fedha nyingi na mashindano yalio Bora ya kuwajenga yanayokutanisha timu nyingi zilizo Bora(hapa naongelea mashindano kama ARAB CLUB CHAMPIONS CUP, KINGS CUP, UNAF CLUBS CUP na MAGHREB CUP WINNERS) haya ni mashindano yanayozikutanisha timu za huko huko uarabuni ambazo nyingi zinalingana nguvu kiuwezo na kipesa.

Tofauti kabisa na huku subsaharan ambako hatuna miundo mbinu, Wala fedha za kutosha, Wala misingi thabiti, Wala mashindano ya kutujengea timu ziwe imara.

Hivyo basi, kwa maelezo hayo hizi timu za waarabu zitaendelea kulitawala hili Sola la afrika sana tu... Na mchawi wao kutoka huku kweusini atakuwa ni Mamelod sundown peke yake. Na ikitokea Mamelod ametoka mapema basi fainali za CAF CHAMPIONS LEAGUE watakuwa wanacheza wao.
 
Back
Top Bottom