Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
El Bahri huyo injin ya KazHuyu mchezaji wa wydad mwenye bandage kichwani ana utoto mwingi, hii kadi kajitakia
Wanapotez muda tu saiv hasa huyu kibu aliyefungw bandageHalafu kipa wa Wydad ni pacha ake Ayoub wa Simba sc, wapigeni tano hao waarabu 😂😂
Kupoteza mudaNaona refa kaingia kwenye mfumo wa waarabu.
Wameingia bure, muhimu uwe na jezi ya mamelodyDimba wamejaza kweli hawa wa south
Kabisa yupo yupo tu.Kupoteza muda
Wamengia bure walipost kwenye ukurasa wao wa instagramDimba wamejaza kweli hawa wa south
Hata mim naona Yanga ikienda kushangaza watu CAF champions leagueKwa ile Yanga iliyocheza juzi, Sioni hivi vilabu viwili vikitoboa.
Aisee, hii wameyataka WAC kupoteza timeDakika 12 za nyongeza kwa kipindi cha kwanza
Heko kwa mwamuzi