FT: Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad (Agg: 3-2)AC | African Football League Final | 2nd Leg | Loftus Versfeld Stadium | 12.11.2023. Mamelodi bingwa

FT: Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad (Agg: 3-2)AC | African Football League Final | 2nd Leg | Loftus Versfeld Stadium | 12.11.2023. Mamelodi bingwa

Leo kunapigwa mchezo wa Fainali ya African Football League mkondo wa pili.

Ni Mamelodi Sundowns Vs Wydad Athletic Club saa 10:00 jioni katika dimba la Loftus Versfeld jijini Pretoria.

Katika mkondo wa kwanza Wydad alishinda 2-1.

Leo kazi ni moja tu kwa Mamelodi kuibuka na ushindi na kutwaa ndoo ya kwanza ya mashindano hayo mapya barani Afrika.
Game nzuri sana
 
Kwa mchezo huu wa mamelody kuna kila dalili ndoo kwenda wydad
Ni sahihi. Usiwawekee dhamana hawa ngozi nyeusi. Jamaa wanacheza kama Simba siku ile walipokula mkono wa nyani.
FB_IMG_1699787780251.jpg
 
Back
Top Bottom