DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Muda huu Manchester United wapo uwanjani Old Trafford na wanaongoza kwa magoli 3-2 dhidi ya Fulham. Ushindi huu unawafanya kufikisha alama 41 kwenye msimamo wa ligi, huku wakiendeleza rekodi ya mechi tatu mfululizo za ushindi dhidi ya Manchester City na Arsenal, ishara ya kurejea kwa ubora wa kikosi hicho.