Muda huu Manchester United wapo uwanjani Old Trafford na wanaongoza kwa magoli 3-2 dhidi ya Fulham. Ushindi huu unawafanya kufikisha alama 41 kwenye msimamo wa ligi, huku wakiendeleza rekodi ya mechi tatu mfululizo za ushindi dhidi ya Manchester City na Arsenal, ishara ya kurejea kwa ubora wa kikosi hicho.
Lammens amtafute de gea kuomba apewe mbinu za kutoa michomo inayopelekwa pembeni. Mpira ukipelekwa juu pembeni anafungwa hata kwenye angle inayofikika. Lile goli la pili la fulham pale de gea anapangua