Macho yote leo yako Manchester United na Liverpool watakapokutana katika dimba la Old Trafford kwenye mchezo wa English Premier League.
Huu ni mtanange wa kihistoria wenye ushindani mkubwa, kila timu ikihitaji pointi muhimu ili kujihakikishia nafasi ya tatu na kushiriki mashindano ya Ulaya.
Manchester United watajaribu kutumia uwanja wa nyumbani kupata ushindi, huku Liverpool wakisaka kuendeleza ubabe wao.
Kufuatia kipigo cha Fc Bournemouth jana, Mathematically utd wameshafuzu kucheza michuano ya ulaya (UCL) next season...... sitegemei game ya maajabu kihivyo, as timu zote haziko vizuri huu msimu...