Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,613
- 56,787
Mpira wabongo ππππNa simba tunajipigia tuπ
UEFA mtakutana na BayernIkija UEFA msitusogelee
Mimi kwa mbaliiπMpira wabongo ππππ
Ngoja leo mtoe droo ndio akili ziwakaeUEFA mtakutana na Bayern
Najua pale Emirates Atletico mtamfunga japo kwa shida.
Ila Bayern atawafanyia zahma hamtaamini.
Mi tangu mpira uanze kutumika kama jukwaa la watekaji nikaachana nao nimebaki na Real Madrid & Manchester United.Mimi kwa mbaliiπ
Droo labda ya kabatiNgoja leo mtoe droo ndio akili ziwakae
Hamjafunga sio kwakua nyie ni bora, ni kwasababu sisi ni wazembe.Man U wachumba tu kwetu,,
Youll never walk alone
A few moment later π π«΅πβοΈπ€£Hawa Liverkuku tunaweza kuwarudishia zile 7 zao