FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

Simba ataondoka na kijiji Leo! (Kwa lugha ya wakamaria)
 
JKU hii hii iliyotaka kupindua meza ya singida FG chamanzi? basi tunaomba muwawekee kikosi cha pili mkuu kama yanga alivyofjnya maana ninyi klabu bora duniani kuliko manchester city
Simba ni mojawapo mwa Klabu 10 Bora Afrika.
 
Kombe la Mapinduzi kinapelekwa kikosi cha Caf cha nini??😀 Makolo ni madunduka kweli
Hao ndiyo wanalaumiwa Kila siku, hizo mechi ni za kuwapa mazoezi.

Siku simba na Yanga wakikutana pangeni kikosi kile cha Jana
 
Back
Top Bottom