FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

Usajili hufanyika kwa kuzingatia bajeti na aina ya mashindano yanayotegemewa katika msimu husika ikiwemo kombe la mapinduzi. Kikosi B ni kikosi cha akiba si kikosi cha mashindano yasiyo na umuhimu sababu mashindano yote ni muhimu na yapo kwenye mipango ya vilabu tangu mwanzo wa msimu.
Wachezaji wa Yanga B ulishawahi kuwaona kwenye benchi la wachezaji wa sub mpaka useme ni kikosi cha akiba?
 
Mzize ni digidigi? Hata hivyo Kila aliyesajiliwa ameaminika na so ajabu kupangwa, msitafute kisingizio kwa kichapo kinachokuja!
Katika ile mechi kulikuwa na mchanganyiko wa madigi digi na wasiopangwa kwenye kikosi, Ni Mzize peke yake ndiye yupo kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga ila waliobakia wote sio sehemu ya kikosi cha kwanza cha Yanga.
 
Mzize ni digidigi? Hata hivyo Kila aliyesajiliwa ameaminika na so ajabu kupangwa, msitafute kisingizio kwa kichapo kinachokuja!
Mwambie Benchikha ajaribu kufanya hivyo, kama kila mchezaji aliyesajiliwa ameaminika. Kwanini nyinyi mnapanga sura zile zile?
 
MSEMAJI

TIMU MECHEZA VIZURI SANAAA

KOCHA

TIMU IMECHEZA VIBAYA SANAA

NAHISI KUNA MTU ANACHUKUA MAJUKUMU YA MWENZIE HAPA
WAKAJIPANGE UPYA
 
Wachezaji wa Yanga B ulishawahi kuwaona kwenye benchi la wachezaji wa sub mpaka useme ni kikosi cha akiba?
Hahaha. Wachezaji wa Sub ni mpango kazi wa kikosi katika mechi husika, kuwepo Sub sio kwamba ww si wa muhimu kuliko wanaoanza ni kwamba sehemu yako katika mechi husika ni sub na wakati wa mpango wako ukifika unaingizwa ili kutimiza mipango ya kocha.

Hakuna mchezaji wa Simba wala Yanga wala mtibwa aliyepo pale bila mpango. Kama hafit katika mpango wowote ni suala la muda anaondolewa. Tuishie hapa.
 
Nadhani napoongelea uwezo, ubora na viwango vya wachezaji kutofautiana bado hilo linakupa shida. Kuna wachezaji wakipangwa kwenye kikosi unajua kabisa hapa kocha kaamua, na kuna wachezaji wakipangwa mashabiki wanaanza kuwa hofu kama watachomoka. Ishu ni ubora, uwezo na viwango vya wachezaji havifanani japo wote wamesajiliwa na timu.
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Unazungumzia yanga hii iliyolambwa 3 bila kwenye caf champions league au? Pole Sana!
Real Madrid yenyewe ikiotewa, inafungwa! Barcelona ikiotewa, inafungwa! Man City akiotewa naye anafungwa! Yanga ni nani mpaka asifungwe?

All in all, kwa sasa tunachowaza ni kutoa vichapo tu kwenye hilo Kombe la Mapinduzi.
 
Yanga imeshinda na Tanzania imefurahi
Hao wengine team ndogo ndogo kama wa leo lolote liwakute
Watu wa kubishana nao hapo Utopolon ni Jk na Mzee Sunday Manara pekee. Hawa mazuzu utapoteza muda.
 
Profile ndio inacheza uwanjani kwa sasa

Kweli mbumbumbu hawaishi
Sasa wachezaji wanalinganishwa kwa vigezo vipi kama sio profile zao na takwimu zao kwenye mchezo husika?

Huo ubishi unaotaka kuleta kwenye hilo swala, ni sawa na kulazimisha pulu yako itafune muwa wakati sio kazi iliyoumbiwa.
 
Upo serious kweli kwamba ngoma na Aucho Ngoma ana profile kubwa?
Sasa Ngoma na Aucho unadhani Aucho naweza kuwa profile kubwa sana kimpira kuliko Ngoma?

Unless uwe uwe umemjua Ngoma akiwa Simba Sc.
 
Sasa wachezaji wanalinganishwa kwa vigezo vipi kama sio profile zao na takwimu zao kwenye mchezo husika?

Huo ubishi unaotaka kuleta kwenye hilo swala, ni sawa na kulazimisha pulu yako itafune muwa wakati sio kazi iliyoumbiwa.
Umesema profile ya mchezaji sio takwimu kila mechi hujui hata tofauti?

Kama profile hata fiston abdulazak anayo kubwa lakini uwezo sifuri
Kolo unajiaibisha
 
Umesema profile ya mchezaji sio takwimu kila mechi hujui hata tofauti?

Kama profile hata fiston abdulazak anayo kubwa lakini uwezo sifuri
Kolo unajiaibisha
Katika medani za soka, Aucho hawezi kuwa mkubwa kuliko Ngoma.
 
Back
Top Bottom