FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

Sasa analazimisha kama sisi hatujawahi kumfunga 5 wakati kuna 6 pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye list ya CAF Kumi Bora kuna timu yoyote Africa Mashabiki kama sio Simba? Mkumbushe hiyo. Wao kila siku kuokoteza vichannel vya ajabu kuonyesha ni wakubwa. Hizi goli kuendelea kushabikia ni ulimbukeni wao. Walijibiwa kuifunga Simba goli hizo hakuwafanyi wao kuwa Wakubwa. (Rais wao).
 
Kwenye rank ya CAF tu pale 10 bora inajulikana Simba ipo, mashabiki bora Africa tupo ,hawa majamaa wabishi tu ,hiyo 5-1 bado hawaamini kama waliwafunga Simba wakati ni kitu cha kawaida kwetu, wanasahau tulimfunga Horoya 7-0 kwa mkapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kutaka kombe kunaonekana kwa kuangalia kiwango cha seriousness.
Haya ni mashindano, na ukishashiriki upo serious, ushiriki ndo kipimo kinachobaki katika historia. Yanga ikichukua kombe historia itabaki kuwa Yanga ndo mshindi wa kombe la mapiduzi.
 
Hivi wale wapemba waliokipiga na yanga jana na hawa jku wepi wakali
kwa mtazamo wangu naona jku wapo vizuri zaidi kuliko wa jana wale
Hawa wa leo wana physic nzuri,man to man battle wapo vizuri na wanafika,wale wa jana ni walaini wanacheza mpira soft touch sana..
 
Nimeangalia, mbali na kuangalia ninaujua na sheria zake nazijua. Own goal haina assist.
Nimeuliza kwa msisitizo sio kwasababu nakataa kuwa OG haina assist ila ni mechanism ya goli lilivyo fungwa.

Point yangu ni kuwa kwa jinsi nilivyoona mimi lile goli halijafungwa na mpinzani bali Baleke ndio katupia.

Sababu za wengi kudai ni goli la kujifunga zimetokana na maoni ya mtangazaji.

Lakini kama ungekuwa unaangalia mpira uliokuwa unatangazwa katika lugha ya kiingereza usingesikia.

Ule mpira ulidunda katikati ya mstari na Baleke ndio alikuja kuumalizia
 
Kolo mnalazimisha furaha
Hivi utakubali leo urudi utotoni?

Tuangalie msimu huu yanga 5 simba 1
Kwanza katika hiyo match sidhani kama kuna mchezaji wa yanga ambaye alikuwepo bado mpaka sasa yupo the same to koloz
Wewe ni kizazi cha Azam TV,kwa taarifa yako Shomari Kapombe alikuwepo kwenye hiyo mechi mliyokula 5-0
 
Nimeuliza kwa msisitizo sio kwasababu nakataa kuwa OG haina assist ila ni mechanism ya goli lilivyo fungwa.

Point yangu ni kuwa kwa jinsi nilivyoona mimi lile goli halijafungwa na mpinzani bali Baleke ndio katupia.

Sababu za wengi kudai ni goli la kujifunga zimetokana na maoni ya mtangazaji.

Lakini kama ungekuwa unaangalia mpira uliokuwa unatangazwa katika lugha ya kiingereza usingesikia.

Ule mpira ulidunda katikati ya mstari na Baleke ndio alikuja kuumalizia
Basi una macho lakini huoni, mpira ulishavuka mstari kabla hata ya Baleke kuucheza. Katazame tena kwa umakin
 
Haya ni mashindano, na ukishashiriki upo serious, ushiriki ndo kipimo kinachobaki katika historia. Yanga ikichukua kombe historia itabaki kuwa Yanga ndo mshindi wa kombe la mapiduzi.
Ni mashindano ya kisiasa, ingekuwa hizi timu za Tanzania zinauwezo wa kukataa zingekataa kushiriki. Na ndio maana kuonesha hayana thamani kwao, wameweka wachezaji wasiopewa nafasi + watoto.
 
Mbinu na malengo ya kocha ndo huamua kina nani wacheze. Hata ligi kocha anaweza amua kutumia baadhi ya michezo kuchezesha watoto.
 
Back
Top Bottom