FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

Kwa huyu dogo aliyesajiliwa Simba ni mzuri namba 23
 
Katika maisha kuna kupanda na kushuka,low moment na prime/ perfect moment, kwa bahati mbaya perfect moment hazidumu mara nyingi,so sishangai simba kupitia haya,ipo siku itakuwa history.
 
Kama sio kujifunga lile goal la pili hawa paka wangekiona leo
 
Katika maisha kuna kupanda na kushuka,low moment na prime/ perfect moment, kwa bahati mbaya perfect moment hazidumu mara nyingi,so sishangai simba kupitia haya,ipo siku itakuwa history.
Kwani tatizo ni Nini? Hivi Yanga asingekuwa vizuri kwa Sasa Kuna timu ya kuizidi ubora Simba hapa Tanzania?

Tuna jipa presha Bure, hata Ile Simba ya kipindi Cha nyuma tuliona nzuri kwa vile Yanga hawakuwa na ubora.

Tuweni watulivu new adaptation itatupeleka mbali.
 
Ukiona man of the match ni beki au kipa ujue hiyo timu ilikua ina kazi ya kuokoa
 
Back
Top Bottom