FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

Kwa nini aachane na ya zamani kwani haikuwa uto? Hakuna kupangiana, wewe furahia ya msimu huu yeye afurahie ya zamani.
Cha msingi zile sita mtungi (6-0) Ilifungwa Yanga hii hii.
Kolo mnalazimisha furaha
Hivi utakubali leo urudi utotoni?

Tuangalie msimu huu yanga 5 simba 1
Kwanza katika hiyo match sidhani kama kuna mchezaji wa yanga ambaye alikuwepo bado mpaka sasa yupo the same to koloz
 
Kwani aliyefungwa sio Yanga au jina ilikuwa tofauti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kolo mnalazimisha furaha
Hivi utakubali leo urudi utotoni?

Tuangalie msimu huu yanga 5 simba 1
Kwanza katika hiyo match sidhani kama kuna mchezaji wa yanga ambaye alikuwepo bado mpaka sasa yupo the same to koloz
Hoja dhaifu sana hii.

Nyie mnavyojiita mabingwa wa kihistoria huwa mnamaanisha kwenye hiyo historia YENU hakuna makombe mliyochukua miaka ya sitini??
 
Kolo mnalazimisha furaha
Hivi utakubali leo urudi utotoni?

Tuangalie msimu huu yanga 5 simba 1
Kwanza katika hiyo match sidhani kama kuna mchezaji wa yanga ambaye alikuwepo bado mpaka sasa yupo the same to koloz
Kwani Yanga Waliwahi Kula 6 - 0 Kweli..?

Hii rekodi vipi? Haijawahi Kuvunjwa?
 
Kolo mnalazimisha furaha
Hivi utakubali leo urudi utotoni?

Tuangalie msimu huu yanga 5 simba 1
Kwanza katika hiyo match sidhani kama kuna mchezaji wa yanga ambaye alikuwepo bado mpaka sasa yupo the same to koloz
Wewe furahia 5-1 za msimu huu, yeye afurahie 6-0 za miaka ile. Ukikasirika ndio anafurahi zaidi 😁😁😁
 
Kolo mnalazimisha furaha
Hivi utakubali leo urudi utotoni?

Tuangalie msimu huu yanga 5 simba 1
Kwanza katika hiyo match sidhani kama kuna mchezaji wa yanga ambaye alikuwepo bado mpaka sasa yupo the same to koloz
5G mnayo kwenye rekodi hilo ndio muhimu. Kuita ni zamani hata wewe ni namna ya kujifariji ila rekodi haifutiki kuwa uto ilichabangwa 5 nunge.
 
Wapo mpaka sasa?

Yanga 5 simba 1 msimu huu huu?
Kibadeni King Mputa aliyepiga kofia tatu mwaka 1977 Bado yupo hai.

Na mpaka Sasa historia yake ya kupiga kofia tatu kwenye mechi ya watani wa Jadi Bado haijavunjwa.

Kwa miaka zaidi ya 46 rekodi ya kibadeni kufunga kofia tatu kwenye mechi na Simba kuifunga Yanga 6-0 haijavunjwa.
 
Back
Top Bottom