Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Baraka mpenjaAssist kutoka kwa Miquisson
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baraka mpenjaAssist kutoka kwa Miquisson
Aisee, vijana wa Manara hawa! 😁Kazi ya kipa ni kudaka full stop
Kitimu cha ChakechakeTimu gani kila mechi lazima iruhusu goli! Yaani wanashindwa kujifunza kwa kaka yao Yanga! Jana kampiga mtu mkono, na bado aliondoka na clean sheet!!
Yule wa jana hana tofauti na Kolo, maana wote walikula 5.We mjinga, JKU anaongoza ligi, siyo yule wa jana
Yanga,wote wamekimbia hapa,hiyo jamhuri ni ya 13 kati ya 16 league kuu zanzibar, JKU inaongoza league so huwezi fananisha kiivyo.
Wakati mnapigwa [emoji2772] mlikua nafasi ipi?Yanga,wote wamekimbia hapa,hiyo jamhuri ni ya 13 kati ya 16 league kuu zanzibar, JKU inaongoza league so huwezi fananisha kiivyo.
Basi kipa ni kiungo mzee🤣🤣Aisee, vijana wa Manara hawa! 😁
Wale wajana ni miongoni mwa timu mbovu zilizo kula bao 5.Wale wa jana wamemfunga mtu anayeshuka daraja basi kelele tupu,leo tunamfunga anayeongoza ligi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba JKU haiwezi kufungwa 5 na Yanga kwa kuwa inaongoza ligi ya Zanzibar?Yanga,wote wamekimbia hapa,hiyo jamhuri ni ya 13 kati ya 16 league kuu zanzibar, JKU inaongoza league so huwezi fananisha kiivyo.
Ulitazama goli lilifungwaje au ndiyo unaongea tu bossKazi ya kipa ni kudaka full stop
Timu mbovu mbovu adhabu yake ni kono la nyani [emoji2772]Wale wa jana wamemfunga mtu anayeshuka daraja basi kelele tupu,leo tunamfunga anayeongoza ligi
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau simba nae washakula 5Yanga,wote wamekimbia hapa,hiyo jamhuri ni ya 13 kati ya 16 league kuu zanzibar, JKU inaongoza league so huwezi fananisha kiivyo.
Kwa goli la kujifunga ni goli halali,unakimbizwa hadi unasahau unapeleka mpira wapiHawa walifungwa na Singida magoli manne juzi na hakukuwa na goli la kujifunga.
Jamhuri hana tofauti na Simba, wote walikula 5 kutoka kwa YangaYanga,wote wamekimbia hapa,hiyo jamhuri ni ya 13 kati ya 16 league kuu zanzibar, JKU inaongoza league so huwezi fananisha kiivyo.
Bado 1 utabiri utimieSimba 4 Jku 1
Hilo hata sisi tuliwapiga 6, yaani 5 jumlisha 1 ya kutolea kwa wakalaTimu mbovu mbovu adhabu yake ni kono la nyani [emoji2772]