FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

Imefanya wakati hata nusu haijawahi fika. Hivi vituko vya makolo
Simba ndiyo timu pekee Tanzania iliyokusanya Pointi nyingi Caf ndani muda mfupi.

Kwani Tanzania kuwa na timu nne 4 kwenye mashindano ya Caf kumetokea tu kwa bahati???
 
Mpira unaondoshwa kwenye hatari
 
Makolo wanapata goli phiri kapiga bomu mochwari teh
 
Back
Top Bottom