FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

Hili nalo la kuuliza? Unashindwa kujua kuhusu u- serious wa jambo? Hii michuano Yanga hawajaonesha u- serious na ndio maana umeona jana wamepangwa hadi watoto na hukumuona Gamondi akiinuka kwenye benchi. Katulia tu tuli
Kwa hiyo kifupi ni kwamba Gamondi hayupo serious na kazi yake?
 
Yaani hii nayo ni ya kuanzishia uzi, si ungecomment tu kule kwenye uzi unaoendelea?
Hii lazima iwekwe kwenye kumbukumbu kabisa, kuwa UKUTA WA YERIKO umedondoka mapema tu, tar 1.
 
Usifananishe Muuza matikiti Maji Wa Aires Buenos Argentina na Kocha Wa Boli
Sijafananisha makocha bali nimelinganisha u-serious baina wa Yanga na Simba.

Simba wapo serious na haya mashindano, Benchikha analitaka kombe la Mapinduzi.
 
Kuna watu ni wambea sana, hawaridhiki mpaka waonekane kuwa wao pia wanajua.

Mleta mada ni aina ya watu hao.
Umbea ni dawa kabisa kama hujui. Tunawakumbusha tu, hatutaki lawama. Hakuna UKUTA hapo.
 
Benchikha anasimama ni kama anahisi wachezaji wake hawamuelewi. Anachokitaka Benchikha hawa wachezaji hawafanyi kabisa na unaona waziwazi. Benchikha hapendi wachezaji kuwaza nyuma wapatapo mpira. Hapendi kupoozesha, hapendi kujisahau, hapendi back passes, hapendi kuchelewesha kutoa pasi, hapendi kupiga pass fyongo. Anataka total football, anataka wachezaji wafunguke wakiwa na mpira, waainue macho wakiwa na mpira. Kwa kifupi wachezaji wa Simba wana matatizo mengi kuliko maelezo. Ni kama hawana brain nzuri ya mpira au wana stress flani hivi.
Wachezaji wengi wa Simba quality ndogo mno. Kuanzia Mwanuke, Chilunda, Duchu, na Kazi.
Hapo ndo tunaamini viongozi hawakusajili kwa makini zaidi ya kupiga dili tu.
 
Benchikha anasimama ni kama anahisi wachezaji wake hawamuelewi. Anachokitaka Benchikha hawa wachezaji hawafanyi kabisa na unaona waziwazi. Benchikha hapendi wachezaji kuwaza nyuma wapatapo mpira. Hapendi kupoozesha, hapendi kujisahau, hapendi back passes, hapendi kuchelewesha kutoa pasi, hapendi kupiga pass fyongo. Anataka total football, anataka wachezaji wafunguke wakiwa na mpira, waainue macho wakiwa na mpira. Kwa kifupi wachezaji wa Simba wana matatizo mengi kuliko maelezo. Ni kama hawana brain nzuri ya mpira au wana stress flani hivi.
Tuna wachezaji hovyo sana.Wanasubiri pasi wakiwa wamesimama na anayetoa pasi amesimama.
Hawaoneshi kasi,kujotuma hakupo,wanacheza kama ma star wa LA liga kumbe upuuzi mtupu
 
Makolo hawana appetite na timu yao walikuaga wanaanzisha nyuzi usiku wa manane kama kuna mechii ila siku hizi wamepoteana mpaka nawasaidia kuanzisha nyuzi teh
 
Sijafananisha makocha bali nimelinganisha u-serious baina wa Yanga na Simba. Simba wapo serious na haya mashindano, Benchikha analitaka kombe la Mapinduzi.
Washiriki wote wanalitaka hili kombe.
 
Back
Top Bottom