FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

Timu gani kila mechi lazima iruhusu goli! Yaani wanashindwa kujifunza kwa kaka yao Yanga! Jana kampiga mtu mkono, na bado aliondoka na clean sheet!!
 
Benchikha anasimama ni kama anahisi wachezaji wake hawamuelewi. Anachokitaka Benchikha hawa wachezaji hawafanyi kabisa na unaona waziwazi. Benchikha hapendi wachezaji kuwaza nyuma wapatapo mpira. Hapendi kupoozesha, hapendi kujisahau, hapendi back passes, hapendi kuchelewesha kutoa pasi, hapendi kupiga pass fyongo. Anataka total football, anataka wachezaji wafunguke wakiwa na mpira, waainue macho wakiwa na mpira. Kwa kifupi wachezaji wa Simba wana matatizo mengi kuliko maelezo. Ni kama hawana brain nzuri ya mpira au wana stress flani hivi.
Kwahiyo Robertinho kaonewa?
 
Mbona kimya ?
20240101_204929.jpg
 
Halafu siwaelewi hawa Wachezaji wa Simba why wanapenda kupiga pasi zisizo na mkakati. Pasi lazima ziwe na mkakati sio muradi pasi tu.
 
Back
Top Bottom