FT | Mapinduzi Cup 2023/24: Simba SC 3-1 JKU : January 1, 2024

Makolo wameanza kulia

Beki zinakabia macho Miquisson hajiamini kila mpira akipata hawezi ku dribble anatoa back pass timu inacheza kama wachezaji wanaogopa kukaa na mpira matatizo yale yale makosa yale yale magoli yale yale..[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utadhani mpira ni moto mguuni wanakwepa
 
Hivi wale wapemba waliokipiga na yanga jana na hawa jku wepi wakali
kwa mtazamo wangu naona jku wapo vizuri zaidi kuliko wa jana wale
 
Makolo wameanza kulia

Beki zinakabia macho Miquisson hajiamini kila mpira akipata hawezi ku dribble anatoa back pass timu inacheza kama wachezaji wanaogopa kukaa na mpira matatizo yale yale makosa yale yale magoli yale yale..[emoji23][emoji23][emoji23]
Unatakiwa Kumalizia ' haya ni Maoni yangu Mimi wenu Utopolo'
 
Huyu Baleke ana kichwa kibovu sana. Angewaza kama Chama Simba ingekuwa na Goli mbili muda huu.
 
Back
Top Bottom