mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Mzize ni digidigi? Hata hivyo Kila aliyesajiliwa ameaminika na so ajabu kupangwa, msitafute kisingizio kwa kichapo kinachokuja!Gamondi kaamua kuwapangia digidigi stars, huku Benchikha akipanga full mkoko.
Wachezaji wa Yanga B ulishawahi kuwaona kwenye benchi la wachezaji wa sub mpaka useme ni kikosi cha akiba?Usajili hufanyika kwa kuzingatia bajeti na aina ya mashindano yanayotegemewa katika msimu husika ikiwemo kombe la mapinduzi. Kikosi B ni kikosi cha akiba si kikosi cha mashindano yasiyo na umuhimu sababu mashindano yote ni muhimu na yapo kwenye mipango ya vilabu tangu mwanzo wa msimu.
Bado mkala gwalaKi Gamondi chenu kinashika nafasi ya 174 ya ukocha Bora Africa! Tafakari
Katika ile mechi kulikuwa na mchanganyiko wa madigi digi na wasiopangwa kwenye kikosi, Ni Mzize peke yake ndiye yupo kwenye kikosi cha kwanza cha Yanga ila waliobakia wote sio sehemu ya kikosi cha kwanza cha Yanga.Mzize ni digidigi? Hata hivyo Kila aliyesajiliwa ameaminika na so ajabu kupangwa, msitafute kisingizio kwa kichapo kinachokuja!
Mwambie Benchikha ajaribu kufanya hivyo, kama kila mchezaji aliyesajiliwa ameaminika. Kwanini nyinyi mnapanga sura zile zile?Mzize ni digidigi? Hata hivyo Kila aliyesajiliwa ameaminika na so ajabu kupangwa, msitafute kisingizio kwa kichapo kinachokuja!
Hahaha. Wachezaji wa Sub ni mpango kazi wa kikosi katika mechi husika, kuwepo Sub sio kwamba ww si wa muhimu kuliko wanaoanza ni kwamba sehemu yako katika mechi husika ni sub na wakati wa mpango wako ukifika unaingizwa ili kutimiza mipango ya kocha.Wachezaji wa Yanga B ulishawahi kuwaona kwenye benchi la wachezaji wa sub mpaka useme ni kikosi cha akiba?
Nadhani napoongelea uwezo, ubora na viwango vya wachezaji kutofautiana bado hilo linakupa shida. Kuna wachezaji wakipangwa kwenye kikosi unajua kabisa hapa kocha kaamua, na kuna wachezaji wakipangwa mashabiki wanaanza kuwa hofu kama watachomoka. Ishu ni ubora, uwezo na viwango vya wachezaji havifanani japo wote wamesajiliwa na timu.Hahaha. Wachezaji wa Sub ni mpango kazi wa kikosi katika mechi husika, kuwepo Sub sio kwamba ww si wa muhimu kuliko wanaoanza ni kwamba sehemu yako katika mechi husika ni sub na wakati wa mpango wako ukifika unaingizwa ili kutimiza mipango ya kocha.
Hakuna mchezaji wa Simba wala Yanga wala mtibwa aliyepo pale bila mpango. Kama hafit katika mpango wowote ni suala la muda anaondolewa. Tuishie hapa.
Real Madrid yenyewe ikiotewa, inafungwa! Barcelona ikiotewa, inafungwa! Man City akiotewa naye anafungwa! Yanga ni nani mpaka asifungwe?Unazungumzia yanga hii iliyolambwa 3 bila kwenye caf champions league au? Pole Sana!
Mkibeti Simba itafungwa ikishinda vumilieni Kanji anavyowapiga za uso!!!hao madogo mliosajili wataozea benchi
Watu wa kubishana nao hapo Utopolon ni Jk na Mzee Sunday Manara pekee. Hawa mazuzu utapoteza muda.Yanga imeshinda na Tanzania imefurahi
Hao wengine team ndogo ndogo kama wa leo lolote liwakute
Mna hasira wew na mkeo. Hao wengine akina nani?Simba hata sitaki kuwafuatilia, watu tuna hasira sana kwa ajili yao
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa wachezaji wanalinganishwa kwa vigezo vipi kama sio profile zao na takwimu zao kwenye mchezo husika?Profile ndio inacheza uwanjani kwa sasa
Kweli mbumbumbu hawaishi
Sasa Ngoma na Aucho unadhani Aucho naweza kuwa profile kubwa sana kimpira kuliko Ngoma?Upo serious kweli kwamba ngoma na Aucho Ngoma ana profile kubwa?
Weka tuione ya Ngoma Bro.Sasa Ngoma na Aucho unadhani Aucho naweza kuwa profile kubwa sana kimpira kuliko Ngoma?
Unless uwe uwe umemjua Ngoma akiwa Simba Sc.
Fuatilia vilabu alivyopita, kisha kinganisha na Aucho.Weka tuione ya Ngoma Bro.
Umesema profile ya mchezaji sio takwimu kila mechi hujui hata tofauti?Sasa wachezaji wanalinganishwa kwa vigezo vipi kama sio profile zao na takwimu zao kwenye mchezo husika?
Huo ubishi unaotaka kuleta kwenye hilo swala, ni sawa na kulazimisha pulu yako itafune muwa wakati sio kazi iliyoumbiwa.
Katika medani za soka, Aucho hawezi kuwa mkubwa kuliko Ngoma.Umesema profile ya mchezaji sio takwimu kila mechi hujui hata tofauti?
Kama profile hata fiston abdulazak anayo kubwa lakini uwezo sifuri
Kolo unajiaibisha