FT: Mapinduzi Cup | Nusu Fainali, APR 2-4 Mlandege | Januari 8, 2024

Mpaka sasa penati 3 kwa APR wanapata 1 wanakosa 2 huku mlandege wamepata zote 3

Wakipata hiii mlandege wanamaliza jusaaaaa aaha anakosa
 
Sulehe sanda kambaaaaa bonge penati
 
Zamu ya Mlandege Gariwangooooo goal Mlandege wanaingia fainali kwa miaka miwili Mfululizo.
 
Match nzuri sana Yanga na Simba zinashindwa wapi team ndogo ya mlandege wanavalishwa na Nike kwenye hii game tena nimefatilia jersey zao naona wameshawahi valishwa na Adidas View attachment 2866644
Unauhakika kuwa wanabalishwa na Nike?

Au kwakua umeona wanavaa jezi zenye nembo ya Nike ndio umefikiria hivyo?
 
Hakuna marefa hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…