FT: Mapinduzi Cup | Nusu Fainali, APR 2-4 Mlandege | Januari 8, 2024

Huu Mlandeke tutampakata mbaya... Kipindi cha kwanza tunala goli saba
 
Wakati Kona inapigwa Kuna APR mmoja alikuwa offside akawa anaivunja anarudi on side,Kona ilivyopigwa hyo mchezaji aliruka amoja na Shiboob ingawa hakucheza mpira lakin aliingilia mchezo
Mpira wa Kona inakuwaje na offside?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…