Doji MD
JF-Expert Member
- Dec 27, 2019
- 1,770
- 3,552
Yes wakumuacha tuKibabage uyu jamaa simuelewagi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes wakumuacha tuKibabage uyu jamaa simuelewagi kabisa
GuedeNani kaweka
Ashaanza zoea ligHuyu ndio GUEDE ninayemfahamu mimi.
Una kadi yake ya clinicHuyu ndio GUEDE ninayemfahamu mimi.
Mahakama ipi hio ya kuigunga Yanga🟡[emoji169][emoji169][emoji172]Hii Yanga labda ifungwe na mahakama
Kabisa kikubwa azidi kupewa nafasi.Ashaanza zoea lig
Hii post imekaa KIHASIBU.Babu gueede mstaafu kaja kula pension kwa wajukuu zake
Aziz alipokea pasi pembeni kidogo ya 18 akampa Mudathir naye kwa kuwa yupo pembezoni mwa goli, akaona hakuna haja ya kufosi akampa pande Guede kamalizia kiulaini.Goli lilikuwaje huku umeme ulicheza kidogo kama dk 2 umerudi Guede kafanya yake