Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Unateseka ukiwa wapi Mtani? 😂Una kadi yake ya clinic
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unateseka ukiwa wapi Mtani? 😂Una kadi yake ya clinic
Mumeo akipigwa BAN unajisahau sana na kujiachia tu, hili lazima limfikie.Guedee inabidi tumpe mke Mtanzania, na mke huyo si mwingine ila ni Mimi..!🤸
Acha umbea😂Mumeo akipigwa BAN unajisahau sana na kujiachia tu, hili lazima limfikie.
Usijaribu kuninyamazisha.Acha umbea😂
GhettoUnateseka ukiwa wapi Mtani? 😂
Kwa kweli kama Guede, Aziz Ki, Aucho na Pacome wataondoka Tz bila kutuachia mbegu binafsi ntawalaumu sana nyie dada zetuGuedee inabidi tumpe mke Mtanzania, na mke huyo si mwingine ila ni Mimi..!🤸
HakutakiGuedee inabidi tumpe mke Mtanzania, na mke huyo si mwingine ila ni Mimi..!🤸
NATANGAZA GUEDE NI WANGU..!🤸Kwa kweli kama Guede, Aziz Ki, Aucho na Pacome wataondoka Tz bila kutuachia mbegu binafsi ntawalaumu sana nyie dada zetu
Mwasibu kila akiona Aziz kapata mpira anapata kihoro anajua wajuba wanaenda kufufua kaburiKidogo tuhamie kwenye uzi wa mhasibu hapa! Namna gani palee
Tiefuefu❌Tiefuefu wakabidhini tu Yanga kombe lao...
BadoTiefuefu wakabidhini tu Yanga kombe lao...
Mkuu! Umesahau hapa ni Tanzania?Kwanini hivi viwanja havifanyiwi maintenance wala matunzo yoyote? Vinaachwa vinachakaa
Mimi na mpira wapi wapi Mrs GuedeCookie kumbe wewe ni Yanga..!🤸💛💚🔥
Mbona unachekelea tunavyowapelekea motoooo🔥🤸Mimi na mpira wapi wapi Mrs Guede
KijanaWeekend yote na hamuonekani