FT: Mashujaa 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Lake Tanganyika Stadium 05.05.2024

Bado mechi tatu ila kadri Azam atakavyodondosha point ndipo watakavyoirahishia Yanga ubingwa. Mechi zinazofuatu ni Kagera, Mtibwa na Dodoma.
Kwan Azam kuna game kaangusha point yani kasare/kufungwa!?
 
Kwan Azam kuna game kaangusha point yani kasare/kufungwa!?
Nimemaanisha kuwa kimahesabu Azam ana point 54 huku akiwa na michezo 6 ambazo sawa na point 18. Ukijumlisha na alizo nazo saivi inakuwa point 72.. Yanga ili atangaze ubingwa wanahitaji kufikisha point 73 ambazo haziwezi kufikiwa na yeyote yule. Kwasasa Yanga ina point 65 hivyo ili kupata point 73 inabidi apate point 9 sawa na michezo mitatu.

Ikitokea Azam wakapata sare au kufungwa kwenye michezo yao, ndivyo itakavyoirahisishia Yanga safari ya ubingwa kwavile hawatohitaji tena point 73 ndio watangaze ubingwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…