ngenya
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 1,313
- 1,773
Mwenzako anaozea huko tumekosa michango.Nitaenda Uturuki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzako anaozea huko tumekosa michango.Nitaenda Uturuki
Azam nayo ni timu ya kuhofia?Nimemaanisha kuwa kimahesabu Azam ana point 54 huku akiwa na michezo 6 ambazo sawa na point 18. Ukijumlisha na alizo nazo saivi inakuwa point 72.. Yanga ili atangaze ubingwa wanahitaji kufikisha point 73 ambazo haziwezi kufikiwa na yeyote yule. Kwasasa Yanga ina point 65 hivyo ili kupata point 73 inabidi apate point 9 sawa na michezo mitatu.
Ikitokea Azam wakapata sare au kufungwa kwenye michezo yao, ndivyo itakavyoirahisishia Yanga safari ya ubingwa kwavile hawatohitaji tena point 73 ndio watangaze ubingwa.
Ulipatikana sasa, hadi sasa narejea ghettoUkitoka nicheck. 🤪🤪
Mwenyewe...!🤸Umerogwa???
Pole Mtani.Ulipatikana sasa, hadi sasa narejea ghetto
Pole uliyoisababishaPole Mtani.
🤔Toka huko njoo utembee tembee huku Matejoo. 😅😅
Wa kuitwa guedewsky 😀Huyu ndio GUEDE ninayemfahamu mimi.
HujamboMwenyewe...!🤸
Guedewsky amekuwa mtu wa mana sana yaani. 😀Wa kuitwa guedewsky 😀
Sijambo! ShikamooHujambo
Wazee wa siku hizi miyeyusho! Unaamkiwa unaitikia Asante!Asanteeeeeee....
Unazijua bakora??
Nikikumbuka lile dege dege tulilokua tunapigishwa baada ya goli kipindi kile halafu guedewsky akifunga yupo cool tu 😂Guedewsky amekuwa mtu wa mana sana yaani. 😀
😂😂 hana mbwembwe.Nikikumbuka lile dege dege tulilokua tunapigishwa baada ya goli kipindi kile halafu guedewsky akifunga yupo cool tu 😂
Gwede gwede mtu mbad 😂😂😂 hana mbwembwe.
Lilikuwa ni swala la muda tu.Gwede gwede mtu mbad 😂
Nashukuru kwa salam.Wazee wa siku hizi miyeyusho! Unaamkiwa unaitikia Asante!
Jirani hamna mchezaji pale trust meLilikuwa ni swala la muda tu.