Wasiende penati, wapewe tu huo ushindi πItakuwa Simba Wanapoteza Muda Maana Wamekosa Mbinu Wanataka Wakajaribu Kwenye Penalty
Chukueni ushindi nyie πPenati kwa timu zote...
Hahahahahaa asante...ngoja ninywe maji baridiiiiMbona kimataifa mnapigaga mpira mwingi? Huku Tz inakuwaje?? π π π
Pole sana mtani, chukua kinywaji chochote baridi upozee machungu, bill ilete kwangu.
Hii ngoma bye byeTunaanza kupiga Simba
Ukiwa na uchungu, maji yanakawaida ya kukaba au kupalia, Kuwa makini mtani π πHahahahahaa asante...ngoja ninywe maji baridiiii