Kiweriweri
JF-Expert Member
- Jan 3, 2012
- 2,150
- 3,086
Alama tatu muhimu + clean sheet... baada ya Kufungwa na Uto, na sare mbili za mfululizo na Namungo & KMC.. Si mbaya..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi mechi nne za mwanzo ni za moto sana kwa kila mmoja. Tabora wakionesha ubora kama waliouonesha kwa Yanga. Itakuwa mechi ngumu sana kwa SimbaHawa Tabora hawa.
Wakikamia kama kwa Uto, watatusumbua sana
Haijawa ngumu, Mashujaa hawakuwa na jipya, wana ulinzi mwepesi sana.Mkuu mie sijaangalia kabisa nilikuwa nafuatilia updates zako TU hapa Jf, ukizingatia nilipania kweli kweli kucheki hii game ila ndio Kama hvyo tanesco wamezingua
But nahisi lazima match ingekuwa ngumu sababu mashujaa wamesajili dirisha dogo
Sio siri Tanesco wamezingua, nimechukua pikipiki ili niwahi home fasta, nafika nakuta umeme umekata!
Yeah! leo Tumekosa nafasi Tatu za Wazi.Hivi mechi nne za mwanzo ni za moto sana kwa kila mmoja. Tabora wakionesha ubora kama waliouonesha kwa Yanga. Itakuwa mechi ngumu sana kwa Simba
Nilikuwa sehemu tulivu, ila umeme ulipokata nikaona nirejee nyumbani, matokeo yake nimefika holaa!Weekend tafuta mahali pazuri utulie.
Mkuu club bingwa cha msingi ni kufunga galaxy halafu draw na Asec ,lakini timu haina makali kabisa,heri pia tuwe na first eleven inayojulikana hata kama kuna rotation basi tunajua sub ikifanyika matokeo yanakuwa mazuri, ila tusubiri tu bado hayupo Inonga,Ngoma na KibuUna wasiwasi kama wangu!
Labda Sarr, Fred na Omar Jobe wanaweza kucatch up.
Hivi ni lini Chama aliwahi kuanzia Sub akaja na Impact kwenye timu?
Huyu mwamba akianzia benchi huwa anaadhirika kisaikolojia.
Kibu yupo amechezaMkuu club bingwa cha msingi ni kufunga galaxy halafu draw na Asec ,lakini timu haina makali kabisa,heri pia tuwe na first eleven inayojulikana hata kama kuna rotation basi tunajua sub ikifanyika matokeo yanakuwa mazuri, ila tusubiri tu bado hayupo Inonga,Ngoma na Kibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa. Ujue hizi timu ndogo ziko too much energeticHii game alitakiwa aanzie Sub
Vipi bwana mkubwa nae kacheza?Kibu yupo amecheza
wydad alikaa 2 bila, aly ahly aliponea chupuchupu kwa kikosi hiki hiki kasoro ingizo kipya fred na jobe
Aisee mpaka tar 24 labda kutakuwa na mabadiliko makubwawydad alikaa 2 bila, aly ahly aliponea chupuchupu kwa kikosi hiki hiki kasoro ingizo kipya fred na jobe