Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mechi na Azam itoe kwenye hesabu zako, mnaacha point zote 3Muhimu sana.
Tukishinda michezo yote 3- points 9.
Jumla 32 points.
Bado kuna watu wanaamini Simba hatuchukui ubingwa wa Ligi
😂😂 Mashujaa wanapumulia mashine.Mashujaa kwa Kizungu ni Heroes! Nitashangaa kama watashindwa kumuua mnyama kama simba.! Tena huku wakiwa na silaha za moto.
Haya niambie we Van sisi mashujaa tukufunge ngapi?
Ngoja nisubiri nione Mtani.Tutawakanda
All the Best Vijana wetu.View attachment 2892593
All the Best Mnyama mkali.
Tukutane saa 10jioni kwa saa za Afrika Mashariki (EAT)
Simba ya Dar es Salaam itashuka Dimbani, Uwanja wa Ziwa Tanganyika kuwavaa wenyeji wao Mashujaa FC.
Simba kwenye msimamo wa Ligi yuko nafasi ya 3. Amecheza michezo 10.
Akiwa na Alama 23. Anayeongoza ligi Azam FC ana michezo 13 na Alama 31.
Simba anaingia kwenye mchezo huu wa 11 akiwa na hasira baada ya kutoa suluhu na KMC mchezo wake wa ligi uliopita.
Mashujaa wao wako Nafasi ya 15 out of 16. wakiwa na alama 9 tu kwa michezo 12.
#nguvumoja#
Kikosi cha Simba Kinachoanza
View attachment 2892924