Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Simba imeibuka na ushindi wa bao 1 kwa 0 dhidi ya Coastal Union, Bao lililofungwa na Ismail Toure. Kwa Ushindi huo Simba inaongoza Msimamo wa ligi ikiwa na alama 12 huku watani wao wa jadi wakiwa wana mchezo mmoja mkononi
Simba SC leo Alhamisi, Agosti 27, 2026, itashuka dimbani kuikabili Coastal Union katika mchezo wa raundi ya nne ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/27. Mchezo huo utachezwa saa 1:00 usiku katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo jijini Dar es Salaam.