Halafu kuna wale Polisi Tanzania wako fire sana. Simba ajiandae vizuri wanaweza kumharibia show. Vilevile, Simba iombe sana wachezaji kama Mpanzu, Chama, Libase na Anicet wasipate majeraha.Hii Simba ikukutana na Geita tutakumbiana
Huyu Ibrahim Doumbia ni Osimhen mtupu. Jana aligongesha mwamba! Mashabiki wote tulianza kushangilia.Kila la kheri Doumbia
Sitireika la kisasa 😄Huyu Ibrahim Doumbia ni Osimhen mtupu. Jana aligongesha mwamba! Mashabiki wote tulianza kushangilia.