Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Leo zamu ya Toure kupata kadi nyekundu nimeshabeti.Simba SC leo Alhamisi, Agosti 27, 2026, itashuka dimbani kuikabili Coastal Union katika mchezo wa raundi ya nne ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/27. Mchezo huo utachezwa saa 1:00 usiku katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo jijini Dar es Salaam.
View attachment 3657963
View attachment 3657964
Simba SC leo Alhamisi, Agosti 27, 2026, itashuka dimbani kuikabili Coastal Union katika mchezo wa raundi ya nne ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2026/27. Mchezo huo utachezwa saa 1:00 usiku katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo jijini Dar es Salaam.
View: https://vt.tiktok.com/ZSVggb1pJ/
View attachment 3657964
Tangu ushenzi wa 29.10.2025 mchezo wa mpira wa miguu umekosa mvuto sana, hata zicheze Simba na Yanga siku hizi watu hawafuatilii sana kama zamani, Watanganyika bado wanaugulia damu za maelfu ya ndugu zao waliuliwa ili Mzanzibari awe mtawala wa Tanganyika.Mashabiki wa simba wamekimbia uzi.
Sahihi kabisaTangu ushenzi wa 29.10.2025 mchezo wa mpira wa miguu umekosa mvuto sana, hata zicheze Simba na Yanga siku hizi watu hawafuatilii sana kama zamani, Watanganyika bado wanaugulia damu za maelfu ya ndugu zao waliuliwa ili Mzanzibari awe mtawala wa Tanganyika.
Mambo badoHakuna mbadala wa KALETSO..?