FT' Mauritania 0-1 Tanzania | Mechi ya kundi 'B' CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 6, 2025 | Saa 2:00 Usiku

FT' Mauritania 0-1 Tanzania | Mechi ya kundi 'B' CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 6, 2025 | Saa 2:00 Usiku

Leo mashabiki mtakuwa mnagugumia tu kwa maumivu kutokana na kiwango kibovu na duni wanacho onesha vijana wenu. Yaani mtu asiyejua mpira, anaweza kufikiri Mauritania ndiyo timu mwenyeji!
 
Iddi nado naye anashangaa kama shabiki uwanjani na sijui mwalimu anamuamin kwa lip
 
Timu haina kiungo hai link mbele na nyuma katikati ni kuruka ruka
 
Back
Top Bottom