Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Huyo Saduni sijui timu gani. Pumbavu
Mpumbavu waheedHuyo Saduni sijui timu gani. Pumbavu
Kwahiyo nimejuaje.Uangalii mpira tatizo
Aliyepata nafasi ya wazi na kucheza chenga uchwara ni Saaduni.Uangalii mpira tatizo
Nafasi ilikuwa ya wazi kabisa pale dahhAliyepata nafasi ya wazi na kucheza chenga uchwara ni Saaduni.
Hakuna striker pale
Msameheni bure bwana kukosa kwa wenge kupo... mbona hajaharibu kupitiliza kuna muda alikua position nzuri Ila Iddi Nado huyo huyo akamkosesha goli.Aliyepata nafasi ya wazi na kucheza chenga uchwara ni Saaduni.
Hakuna striker pale
Kocha naye kimeo. Morocco anafaa kuwa kocha wa shule ya msingiKinacho Tusumbua Wachezaji wetu hawana Akili ya Mpira
Binafsi huwa naamini Minziro ni kocha mzuri, kwa kuwa na beef na tumbo tumbo Karia hapewi nafasi.Kocha naye kimeo. Morocco anafaa kuwa kocha wa shule ya msingi
Amen amen