FT' Mauritania 0-1 Tanzania | Mechi ya kundi 'B' CHAN | Mkapa Stadium | Agosti 6, 2025 | Saa 2:00 Usiku

Tuanze kujaribu pasi ndefu sasa hizi fupi fupi hapana zimegoma

Jamaa walitusoma vizuri sana lakini udhaifu wao ni mmoja tu

Beki zao left na right ndio uchochoro tupite humo humo kwa kupiga ndefu
 
Yaani Tunacheza Mziki wao
Wao wanapoteza muda sisi ndio tunawaunga Mkono
Kama Tumeridhika
 
Refa kashaingia kwenye mfumo wa jamaa

Hapa hakuna namna tena kocha letu limezubaa kweli yaani
 
Saadun anatukaba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…