FT: Mbeya City 1-1 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium

FT: Mbeya City 1-1 Yanga SC | NBC Premier League | Sokoine Stadium

Goli la off side kabisa subilini mechi za CAF kama mtabebwa hivyo.Hovyo kabisa ligi la Bongo limeka kisiasa zaidi
Mwanamikia fc tuliza mzuka,subirini ubingwa mwingine miaka Saba ijayo🤸
 
"Utaona Msimu Ujao, Utaona Msimu Ujao"

Hiyo Ndio Kauli Waliyobaki Nayo Saiv

Wakiwa Wengi Ni Wekundu Wa Msimbazi, Akiwa Mmoja Je? [emoji1787]
IMG_20220625_183924.jpg
 
Back
Top Bottom