permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 11,682
- 14,241
una comments za majungu sana kwa Yanga, mpaka huu msimu uishe itakuwa umelazwa hospital.Sasa niumie kwa kipi?
Tatizo mmekariri vibaya mnataka watu wote tufanane mitazamo na ikiwa tofauti mnatafsiri chuki au maumivu
Acheni unafki yani mkishinda nyinyi ndio mpira uwe burudani?Hahahaha ndio maana nakwambia unamaumivu tele , yaani povu linazidi kukutoka , mpira ni burudani mkuu ,mpira sio vita ,
Hili ni tatizo la watu wanaoshabikia mpira huku hawajawahi kuucheza ,ndio wanakua na matatizo kama yako ,kuufanya mpira ni vita ,kumbe mpira ni burudani
Kwa wanaonijua wanaelewa hata msimu uliopita nilikua na kasi hii hii na still ubingwa hamkuchukuauna comments za majungu sana kwa Yanga, mpaka huu msimu uishe itakuwa umelazwa hospital.
Ukiwa hivyo hivyo na mayele pamoja na makambo au utabadilika kivingine?Tukutane tar. 11 December
Hii ni spirit ambayo nimeikuta kwa wanayanga wengi sana, wanaamini furaha yao sio ubingwa ni kumfunga simba.Kiujumla unateseka hatuna chakukusaidia zaidi ya kibano kingine tarehe 11..
Nikisema ukweli vita inaanza, ili mnipe pole kushinda msaada...Kiukweli umeumia sana na muda si mrefu chuki yako na Mayele inaenda kukutafuna.
Nikisema ukweli vita inaanza, ili mnipe pole kushinda msaada...
Nakama nakosea nisamee, kwakua msamaha uliwekwa nikosee...
Hizo ni lines za dizasta zisikupe viulizo nilitaka nikuoneshe tu kua sijaumia, na sina sababu ya kuumia eti kwasababu yanga imeshinda
Pangeni kikosi Cha leo kwa timu zingine muone kitakacho watokea ,au umesahau na namungo had refa aliamua kuwafichia aibu?Nashukuru kwa hiyo Aucho, Bangala na Moloko wote hawapo still team inapata matokeo.
Pale kigoma je?[emoji848]Mbona gazeti refu hivi wakati mlipigwa kamoja tu kombe la hisani? Pole sana mkuu
Mm ninachoona hapa mwenye maumivu makali Ni yule hajagusa ubingwa miaka minne mfululizo ,anawezaje kuumia mtetez wa ubingwa kuliko ambae hajanyenyua kwapa miaka minne ,yaan tokea madogo waanze form one had wanamaliza four hawajawah shuhudia timu yako ikinyenyua kwapa, Nan mwenye maumivu hapa ? Alafu mwenzio anawakirisha kimataifa wakat wewe unahenyeshana na akina mbeya kwanza [emoji23][emoji23] kuwa mkwel ndugu maumiv unayo wewe Zaid hapa Mwamba anakuchora tu ili upanic maana dalili zinaonekana Waz kuwa bado hamna uhakika kama mtanyenyua kwapa huu msimu ,yaan mnaishi kwa waswas km Digi Digi ,wakat Simba Ana uhakika wa kula swala muda wowote na mpka saiz Hana njaa maana ashashiba miaka minene mfululizo huku uto akiambulia patupu.Hahahaha ndio maana nakwambia unamaumivu tele , yaani povu linazidi kukutoka , mpira ni burudani mkuu ,mpira sio vita ,
Hili ni tatizo la watu wanaoshabikia mpira huku hawajawahi kuucheza ,ndio wanakua na matatizo kama yako ,kuufanya mpira ni vita ,kumbe mpira ni burudani
Na nyie mlikuwa club bingwa, kwa sasa mnashiriki kombe la walioshindwa.Kwa wanaonijua wanaelewa hata msimu uliopita nilikua na kasi hii hii na still ubingwa hamkuchukua
Mm naona watu wa yanga ndio mna matatizo na jamaa ,mbona hata nyie mnafura Sana hapa jamvin full mapovu Simba akishinda ,mtakuja na Sabab kibao .Mpira ni furaha Mkuu,ila mchizi anauchukulia serious sana,Hapa penyewe Yanga kushinda amefura kinoma.
Taratibu mtani, UNAOLEWA tena jamani, nani huyo anakuoaUnachekesha, unanioa pole mimi ambaye nakuwakislisha kimataifa?
Sasa una kipi cha kujivunia mbele yangu?
Timu yenyewe ndio hiyo mbeya kwanza na mpira wake wote tumeuona na wamethibitisha ni jinsi gani ni underdog. Lakini licha ya udogo wao bado mpira mmecheza kwa kiwango kibooovu to the fullest
Thibitisha madai yako hapa kwamba simba akicheza na timu kutoka nje Yanga huwaga anatoa mbinu kwa wapinzani!!Mm naona watu wa yanga ndio mna matatizo na jamaa ,mbona hata nyie mnafura Sana hapa jamvin full mapovu Simba akishinda ,mtakuja na Sabab kibao .
Alafu kucheza mpira haimanishi huwez kuwa na temper za kishamba .
Uzuri comment zenu zipo humu mkitaka tufukue makabur semen ,kwenye mpira kuongea Ni kawaida alafu hakuna upinzan wa bila kuombeana mabaya ,Simba inamuombea njaa yanga na yanga nayo inamuombea njaa Simba ,ndipo sasa tunapata maneno Kama haya ,sidhan km wewe unakuwa nafuraha pale mnyama anapokua ameshinda .Achen kujificha kwenye kichaka Cha kucheza mpira ,ushabik hauko hivo .
Tena watu wa yanga ndio washamba Sana ,maana Simba akiwa na battle na timu ya nje Kuna Wana yanga wanaenda kutoa mbinu kwa timu ya nje huko lengo Simba afungwe wapate Cha kuongea ,ushabik wa Simba na yanga tunakoelekea utageuka Vita badala ya utani.
Mbona we umeshindwa ila haupo kwenye hilo kombe la walioshindwa?Na nyie mlikuwa club bingwa, kwa sasa mnashiriki kombe la walioshindwa.
Mbona hata nyie mnashirik lig kuu ambayo mmeshindwa kubeba makombe miaka minne mfululizo ? Huon km unajitukana .Na nyie mlikuwa club bingwa, kwa sasa mnashiriki kombe la walioshindwa.
Umesahau mechi tano kadi nyekundu mfululizo na penalt mbili au ndio nyani haoni lake kundule.Pangeni kikosi Cha leo kwa timu zingine muone kitakacho watokea ,au umesahau na namungo had refa aliamua kuwafichia aibu?
Mbeya kwanza Ni timu isio na uzoefu na lig hapo ndipo yanga kapata advantage ,huwez panga kikos hicho kwa dodoma jiji au prison utoke salama.
Typing error we chizi hiyo ni US keyboard "o" na "p" zimekaribiana jiongeze usipende kuyafanya maneno ya haji manara kuhusu IQ ya mashabiki wa yanga yaonekane ya kweliTaratibu mtani, UNAOLEWA tena jamani, nani huyo anakuoa
Yaani jamaa kumbe na ww ni wale wale mm nikiangalia mpira burudani yangu huishia hapo hapo , yaani nyie mmechukua makombe lakini bado manaumia kusikia yanga kashinda ndio maana muda wote mpo manfuatilia ,kiuhalisia sina tabia za kufuatilia timu za bongo , sema jamaa yako anaumia kinoma , au mnamaumivu kwa kua unachukua makombe bila ya kumfunga yanga , maana makombe mmechukua ya ligi bila hata kumfunga yanga nahisi hicho ndio kinawauma , makolo mna shida sanaMm ninachoona hapa mwenye maumivu makali Ni yule hajagusa ubingwa miaka minne mfululizo ,anawezaje kuumia mtetez wa ubingwa kuliko ambae hajanyenyua kwapa miaka minne ,yaan tokea madogo waanze form one had wanamaliza four hawajawah shuhudia timu yako ikinyenyua kwapa, Nan mwenye maumivu hapa ? Alafu mwenzio anawakirisha kimataifa wakat wewe unahenyeshana na akina mbeya kwanza [emoji23][emoji23] kuwa mkwel ndugu maumiv unayo wewe Zaid hapa Mwamba anakuchora tu ili upanic maana dalili zinaonekana Waz kuwa bado hamna uhakika kama mtanyenyua kwapa huu msimu ,yaan mnaishi kwa waswas km Digi Digi ,wakat Simba Ana uhakika wa kula swala muda wowote na mpka saiz Hana njaa maana ashashiba miaka minene mfululizo huku uto akiambulia patupu.
Yanga 27Mbona hata nyie mnashirik lig kuu ambayo mmeshindwa kubeba makombe miaka minne mfululizo ? Huon km unajitukana .
Au wewe unashirik ligi ya namna gan ndugu tueleze, wewe Ni mshindi wa kipi na kwenye mashindano yepi yasio ya timu zilizoshindwa? Elimu ,Elimu Elimu ,Edward Lowasa uliona mbali Sana .