Mm naona watu wa yanga ndio mna matatizo na jamaa ,mbona hata nyie mnafura Sana hapa jamvin full mapovu Simba akishinda ,mtakuja na Sabab kibao .
Alafu kucheza mpira haimanishi huwez kuwa na temper za kishamba .
Uzuri comment zenu zipo humu mkitaka tufukue makabur semen ,kwenye mpira kuongea Ni kawaida alafu hakuna upinzan wa bila kuombeana mabaya ,Simba inamuombea njaa yanga na yanga nayo inamuombea njaa Simba ,ndipo sasa tunapata maneno Kama haya ,sidhan km wewe unakuwa nafuraha pale mnyama anapokua ameshinda .Achen kujificha kwenye kichaka Cha kucheza mpira ,ushabik hauko hivo .
Tena watu wa yanga ndio washamba Sana ,maana Simba akiwa na battle na timu ya nje Kuna Wana yanga wanaenda kutoa mbinu kwa timu ya nje huko lengo Simba afungwe wapate Cha kuongea ,ushabik wa Simba na yanga tunakoelekea utageuka Vita badala ya utani.