Muda badoKinachofanywa na yanga hapa ni aibu, kama ingekua ni Simba muda huu tungekua tunaongelea bao 5 and above
Kunyewa na kunguru sio shabahaSawa mkuu mayele ni shati lilimtungua Manula
Mayele huyu huyu au?Kwani mayele mpaka acheze mpira, hakuna kibarua chochote pale jangwani anaweza akapewa apate chochote kitu?
Huyu huyu ndio, we unamuonaje?Mayele huyu huyu au?
Huyu alokushindilia msumari ile siku ya community shield?Huyu huyu ndio, we unamuonaje?
Ndo kwanza pakti ya kwanza bado haijaisha unaanza kulia lia,ikifika pakti ya tatu je?Mbeya kwanza wanahisi bado wapo daraja la kwanza,watashuka kama walivyopanda.
Mazoezi ya Mikia hayo kwahiyo usishangaeMechi ya leo hata nabi pale benchi simuini kufoka kama ilivyokua kwa namungo
Mtoto kuleta dagaa za buku kwa pesa yake na kuiokoa familia isisinde na njaa ya siku moja, haina maana mtoto ni zaidi ya baba au baba adharaulike kisa mtoto kafanya majukumu yakeHuyu alokushindilia msumari ile siku ya community shield?
Wanatabia ya kusahau hawa jamaaHuyu alokushindilia msumari ile siku ya community shield?
Si mnacheza nao tarehe 11 haraka za nini? Unasema mngeshinda tano wakati tokea ligi ianze ni mechi moja tu ndio mliipata ushindi wa goli zaidi ya moja.Kinachofanywa na yanga hapa ni aibu, kama ingekua ni Simba muda huu tungekua tunaongelea bao 5 and above
Sawa Mkuu,Let time to be a teacher.Mtoto kuleta dagaa za buku kwa pesa yake na kuiokoa familia isisinde na njaa siku hiyo, haina maana mtoto ni zaidi ya baba au baba adharaulike kisa mtoto kafanya majukumu yake
Sijui umenielewa hapo??
Pin pointed.Si mnacheza nao tarehe 11 haraka za nini? Unasema mngeshinda tano wakati tokea ligi ianze ni mechi moja tu ndio mliipata ushindi wa goli zaidi ya moja.
Say No more[emoji1787][emoji23]Mechi ya leo tunapoteza alama zote 3
Ile mapinduzi tulifanya uungwana tu, kwasababu busara zenu zilifika kikomo mkafika hatua mkautangazia umma kua mmempa kocha mechi tatu za kujipimaMazoezi ya Mikia hayo kwahiyo usishangae