FT: Mbeya Kwanza 0-2 Young African | Ligi kuu

FT: Mbeya Kwanza 0-2 Young African | Ligi kuu

Kinachofanywa na yanga hapa ni aibu, kama ingekua ni Simba muda huu tungekua tunaongelea bao 5 and above
 
Dakika moja ya nyingeza kumalizika kipindi cha kwanza
 
Mayele tena kapiga off target mpira wa kichwa uliopigwa baada ya faulo kupatikana nje karibia na lango la mbeya kwanza

Naam mpira ni mapumziko
 
Mbeya kwanza ni timu ndogo sana kwa namna ambavyo wamecheza leo yanga ilipaswa kwenda mapumziko ikiwa mbele kwa mabao 5, ila ndo hivyo pana mayele pale kati
 
Mbeya kwanza wanahisi bado wapo daraja la kwanza,watashuka kama walivyopanda.
 
Huyu alokushindilia msumari ile siku ya community shield?
Mtoto kuleta dagaa za buku kwa pesa yake na kuiokoa familia isisinde na njaa ya siku moja, haina maana mtoto ni zaidi ya baba au baba adharaulike kisa mtoto kafanya majukumu yake


Sijui umenielewa hapo??
 
Kinachofanywa na yanga hapa ni aibu, kama ingekua ni Simba muda huu tungekua tunaongelea bao 5 and above
Si mnacheza nao tarehe 11 haraka za nini? Unasema mngeshinda tano wakati tokea ligi ianze ni mechi moja tu ndio mliipata ushindi wa goli zaidi ya moja.
 
Mtoto kuleta dagaa za buku kwa pesa yake na kuiokoa familia isisinde na njaa siku hiyo, haina maana mtoto ni zaidi ya baba au baba adharaulike kisa mtoto kafanya majukumu yake


Sijui umenielewa hapo??
Sawa Mkuu,Let time to be a teacher.
 
Mazoezi ya Mikia hayo kwahiyo usishangae
Ile mapinduzi tulifanya uungwana tu, kwasababu busara zenu zilifika kikomo mkafika hatua mkautangazia umma kua mmempa kocha mechi tatu za kujipima

Kati ya hizo mechi tatu, mechi mbili alikuwa amekwisha zipoteza nje ndani. Sasa tungewafunga mngekuwa katika hali gani nyie?

Sisi tunajua timing ya mpira, tunajua hii ni vita ya namna gani na silaha gani tutumie, kifupi ni kwamba tunafunga mziki kulingana na ukubwa wa shuhuli

Na pia sisi ni tuna ndugu zetu tunaowapenda wanaoshabikia yanga, hatupendi kuwaona wakiwa kwenye manung'uniko kwa hiyo kwanza tulilinda kibarua cha kocha na pia kurejesha furaha ya wana yanga ambao mostly walikua wamekata ringi
 
Back
Top Bottom