FT: Mbeya Kwanza 0-2 Young African | Ligi kuu

FT: Mbeya Kwanza 0-2 Young African | Ligi kuu

Si mnacheza nao tarehe 11 haraka za nini? Unasema mngeshinda tano wakati tokea ligi ianze ni mechi moja tu ndio mliipata ushindi wa goli zaidi ya moja.
Hii imejumuisha na mechi ya juzi against red arrows ?
 
Mbeya kwanza wana huyu dogo mmoja wa huku uswahilini kwetu Mbagala anawachambua sana Yanga anaitwa Hamis Kanduru
 
Mbeya kwanza wana huyu dogo mmoja wa huku uswahilini kwetu Mbagala anawachambua sana Yanga anaitwa Hamis Kanduru
Yap huyo dogo ni mkali kuliko mayele, angepata combination ile ya namungo ange ng'aa zaidi kuliko mayele
 
Kinachofanywa na yanga hapa ni aibu, kama ingekua ni Simba muda huu tungekua tunaongelea bao 5 and above
Huu ushabiki mnaorithishwa na wazazi unawafanya muwe Mazuzu wa ushabiki. Hapa ndo mnatukwanza siye tusio na usimba/uyanga. Waliotengeza nafasi ni wao Yanga kama Simba wanavyotengeneza nafasi siku zote, mbona hatusemi Simba inapoteza nafasi?
 
Sasa una panic nini, tusiseme ukweli ?
 
Top scorer wa mbeya kwanza kachezewa faulo lakini refa kamuonya kwa mdomo
 
Kuna mchezaji wa yanga kaunawa mpira katikati ya box na refa kapeta simlaumu jwasababu ilikua ngumu kuona
 
Sasa hiki ndio nilichokua nakisema mara kwa mara, hapa mchezaji wa yanga kaguswa kifogo refa katoa kadi
 
Ila hizi freekick wanazopewa yanga japokua hazina madhara ila sio za haki
 
Hahaha huyu jamaa wa mbeya kwanza alivyorusha huu mpira nimemkumbuja yule jamaa wa galaxy alivyorusha mpira kama kona hadi golini
 
Deusi kaseke alishika hapa, wachezaji wamenyoosha mikono kumpa ishara refa lakini refa hajaona
 
Jamani jamani heee

Huyu feisal kaguswa lakini alivyo biringita hapa ni kama hyundai limemkanyaga
 
The reason why i hate mayele ni namna ambavyo ana behave kishamba, yani anataka kucheza na jukwaa hata pale ambapo hajafunga goli

Imagine mpira umetoka nje afu anawaambie mashabiki eti wamshangilie

Kwa kipi hasa??

Anawachukulia nyie washamba nini?
 
Hakuna mchezo rahisi kama pale unapocheza refa yuko upande wako
 
Back
Top Bottom