Hii imejumuisha na mechi ya juzi against red arrows ?Si mnacheza nao tarehe 11 haraka za nini? Unasema mngeshinda tano wakati tokea ligi ianze ni mechi moja tu ndio mliipata ushindi wa goli zaidi ya moja.
Yap huyo dogo ni mkali kuliko mayele, angepata combination ile ya namungo ange ng'aa zaidi kuliko mayeleMbeya kwanza wana huyu dogo mmoja wa huku uswahilini kwetu Mbagala anawachambua sana Yanga anaitwa Hamis Kanduru
Huu ushabiki mnaorithishwa na wazazi unawafanya muwe Mazuzu wa ushabiki. Hapa ndo mnatukwanza siye tusio na usimba/uyanga. Waliotengeza nafasi ni wao Yanga kama Simba wanavyotengeneza nafasi siku zote, mbona hatusemi Simba inapoteza nafasi?Kinachofanywa na yanga hapa ni aibu, kama ingekua ni Simba muda huu tungekua tunaongelea bao 5 and above
Sasa una panic nini, tusiseme ukweli ?Huu ushabiki mnaorithishwa na wazazi unawafanya muwe Mazuzu wa ushabiki. Hapa ndo mnatukwanza siye tusio na usimba/uyanga. Waliotengeza nafasi ni wao Yanga kama Simba wanavyotengeneza nafasi siku zote, mbona hatusemi Simba inapoteza nafasi?
Kwani hapa tunazungumzia kombe la shirikisho la caf?Hii imejumuisha na mechi ya juzi against red arrows ?