FT: Mbeya Kwanza 0-2 Young African | Ligi kuu

Makambo katika jaribio lake la mara ya nne kugusa mpira amekuwa na bahati mbaya kwani mpjra baada ya kuugusa ili kuutuliza umetoka moja kwa moja na kuipa faida mbeya kwanza
 
MWENYE NCHI nipo zangu smart Gheto hakuna umeme wala nini!!
✈️✈️✈️🤔🤔🤔
 
Yanga alishakubali kufungwa ili Simba asishuke daraja, kusema kuwa mnapanga silaha kuandena na adui ndio kusema kufurumushwa club bingwa ndio uwezo uliishia pale.
Club bingwa nina second chance baada ya kufanya mzaha round hii nimekuja kivingine, napiga bao tatu nje ndani sina masihara
 
Vijana Wa Mbeya Kwanza japo Wapo nyuma lakini wanahangaisha Utopolo hapa.
 
Hivi ni nani aliye mleta huyu Yusuf athuman pale yanga, au alikuja mwenyewe [emoji23][emoji23]
 
Makambo ni muoga, sasa pale alikua oeke yake kwa distance ile shuti kali lingefunga lakini akatoa pasi
 
Kibwana shomari kafanya faulo katika eneo lile lile ambalo freekivk ya yanga ilizaa goli ebu tuone kama italeta impact kwa mbeya kwanza
 
Naaam mpira umekwisha

Mbeya kwanza 0 Yanga 2
 
Ndugu zangu muwege mnatupa update kama hivi tunawategemea... kule insta ni miyeyusho tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…