FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

FT: MC Alger 1-0 TP Mazembe | CAF Champions League | Stade de 5 Juillet | 10.01.2025

Enzi za advance, nikikaa mezani kusolve hesabu kulikua na Yale makaratasi makubwa kama gazeti la mzalendo , zikianza solviwa hesabu hapo aisee ni balaa ,asub hujui hata imefikaje...hako kahesabu kwenye karatasi yako nilikua sina hata haja ya kuhangaika navyo.
 
Kimahesabu bado Yanga ana nafasi ya kupita.

Mahesabu yenyewe

View attachment 3197441

View attachment 3197443


View attachment 3197445
Utopolo 18.jpg
 
Kila la heri friends of simba, TP MAZEMBE
View attachment 3197444
Miaka hiyo TP Mazembe wa moto kweli kweli. Siyo hawa madogo baada ya kuzuiwa kusajili. Hii ya sasa Yanga ina uwezo wa kuipiga hata 5. Imechoka mwaka huu angalia kwenye kundi ilikuwa ya Ngapi. Kwa sasa nadhani ndo team ambayo imepigwa matches nyingi kwenye group.
 
Miaka hiyo TP Mazembe wa moto kweli kweli. Siyo hawa madogo baada ya kuzuiwa kusajili. Hii ya sasa Yanga ina uwezo wa kuipiga hata 5. Imechoka mwaka huu angalia kwenye kundi ilikuwa ya Ngapi. Kwa sasa nadhani ndo team ambayo imepigwa matches nyingi kwenye group.
Ndio mpira ulivyo hata Yanga tulitokea huko kwenye vipigo heavy.
 
Yani Tp Mazembe wawafunge Mc hahahahha nafwaaaa...

Leo hii utopolo wanawaombea Mazembe hahah ila mpira nyokwe...
Hakuna jambo sahihi kwa Yanga kama ku focus kushinda mechi zote mbili kuliko kuombea fulani afungwe. Tp Mazembe akishinda leo bado sio jambo zuri kwa Yanga maana watakuwa wanafikisha point 5 na mechi ya mwisho ni dhidi ya Ibenge kwenye ardhi ya kwao Congo. Kuna uwezekano Tp Mazembe akashinda tena dhidi ya Al Hilal na kufikisha point 8
 
TP Mazembe wasiogope, Yanga tulimfunga mwarabu hapahapa kwenye huu uwanja, tena tukapigwa presha,mabomu,fataki uwanja ukafanana na uwanja wa vita 😀 na bado Mwarabu akafia hapo
 
Kundi A katika Ligi ya Mabingwa Afrika, leo kuna mchezo muhimu sana.

MC Alger Vs TP Mazembe pale katika dimba la July 5, kuanzia Saa 4:00 Usiku kwa Saa za Afrika Mashariki.

Mchezo huu ni muhimu sana kwa hatima ya Yanga katika kusonga mbele.

Ikumbukwe MC Alger yupo nafasi ya pili akiwa na point 5 huku Mazembe akiwa na point 2 nafasi ya nne.

Matokeo ya leo yataleta athari kubwa kuelekea mchezo wa Al Hilal Vs Yanga hapo jumapili.

Azam Sports 1HD watakuwa live, wale wa kustream pitia hapa www.fawanews.com
Kila la kheri TP Mazembe
 
Back
Top Bottom